
UJASIRIAMALI& BIASHARA.
Latest from the Blog
Soko la Hisa la Dar Es Salaam na Kampuni zilizosajiliwa.
1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni. Stahili za mwenye hisa ni pamoja na kushirikiContinue reading “Soko la Hisa la Dar Es Salaam na Kampuni zilizosajiliwa.”
KULAUMU NA KULALAMIKA SIO SULUHISHO LA MATATIZO.
Zipo Biashara Nyingi Za Kufanya! Lakini kuchagua ni biashara ipi itakufaa zaidi ni changamoto ya kwanza kubwa hasa kwa mtu anayetaka kuanza biashara. Changamoto ya pili tena kubwa kuliko ni yakutojua wateja utawapataje baada ya kuanza biashara. Ukiwa na mtaji ni rahisi sana kupewa ushauri wa biashara ya kufanya. Dhoruba linakuja kwenye upatikanaji Tambua kwambaContinue reading “KULAUMU NA KULALAMIKA SIO SULUHISHO LA MATATIZO.”
Get new content delivered directly to your inbox.