KULAUMU NA KULALAMIKA SIO SULUHISHO LA MATATIZO.

Zipo Biashara Nyingi Za Kufanya!

Lakini kuchagua ni biashara ipi itakufaa zaidi ni changamoto ya kwanza kubwa hasa kwa mtu anayetaka kuanza biashara.

Changamoto ya pili tena kubwa kuliko ni yakutojua wateja utawapataje baada ya kuanza biashara.

Ukiwa na mtaji ni rahisi sana kupewa ushauri wa biashara ya kufanya.

Dhoruba linakuja kwenye upatikanaji

Tambua kwamba wateja ndio pumzi ya biashara yoyote ile.

Bila wateja hata biashara yako iwe nzuri aje lazima ife.

Kwahiyo kitu cha kuzingatia sana kabla hujaanza biashara yoyote ile ni utapataje wateja.

Ukijua namna ya kupata wateja biashara yoyote ambayo utaamua kuifanya lazima ufanikiwe tu.

Kama upo tayari kujua ni biashara gani inalipa vizuri na mbinu za kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja wengi…

Nimekuandalia darasa la BURE ambalo nitakufundisha hatua 6 za kuanzisha biashara sahihi yenye kulipa vizuri na kuikuza.

Hatua 6 zenyewe ni hizi…

👉 Hatua ya kwanza: Utambuzi wa Biashara Sahihi Yenye Kulipa Vizuri.

👉 Hatua ya Pili: Utambuzi wa mtu sahihi Ambaye yupo tayari kuwa mteja wako.

👉 Hatua ya tatu: Utambuzi wa nini umfanyie mteja wako halisi ili akupatie pesa yake kwa haraka!

👉 Hatua ya Nne: Namna Rahisi na ya Haraka Ya kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja kama utitiri.

👉 Hatua ya Tano: Namna Rahisi Na Ya Haraka ya kumvuta mteja kutoka mtandaoni (Facebook & Instagram) kuja kwenye soko lako (Whatsapp Business)

👉 Hatua ya Sita: Nini Ufanye Na Nini Usifanye Baada ya mteja wako halisi kufika kwenye soko lako (Whatsapp Business)

Baada ya darasa hili nina uhakika utakua unajua ni biashara gani ufanye na mbinu za kupata wateja utakua nazo.

Imeandikwa na;

Dr.Japhet Simon

Inspirational Speaker|Author|Tutor|Entrepreneur|Blogger|Business Consultant

Facebook:Japhet K.Simon

Instagram:japhetsimon_

Published by Dr.Japhet Simon

Inspirational Speaker|Author|Tutor|Business Consultant|Entrepreneur|Blogger

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create your website with WordPress.com
Get started
%d bloggers like this: