Blog

TIMU MAFANIKIO

Soko la Hisa la Dar Es Salaam na Kampuni zilizosajiliwa.

1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni. Stahili za mwenye hisa ni pamoja na kushirikiContinue reading “Soko la Hisa la Dar Es Salaam na Kampuni zilizosajiliwa.”

KULAUMU NA KULALAMIKA SIO SULUHISHO LA MATATIZO.

Zipo Biashara Nyingi Za Kufanya! Lakini kuchagua ni biashara ipi itakufaa zaidi ni changamoto ya kwanza kubwa hasa kwa mtu anayetaka kuanza biashara. Changamoto ya pili tena kubwa kuliko ni yakutojua wateja utawapataje baada ya kuanza biashara. Ukiwa na mtaji ni rahisi sana kupewa ushauri wa biashara ya kufanya. Dhoruba linakuja kwenye upatikanaji Tambua kwambaContinue reading “KULAUMU NA KULALAMIKA SIO SULUHISHO LA MATATIZO.”

Siku hizi kulaumu na kulalamika imekuwa ni kama jambo la kawaida miongoni mwa jamii zetu, ni kawaida kuona tunailaumu na kuilalamikia serikali na viongozi wake, kuyalalamikia mazingira na vingine kama hivyo,Sijaribu kuwatetea viongozi wetu, mazingira na vingine ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kama chanzo cha matatizo ni kweli kabisa wanaolalamikiwa wanafanya tofauti na vile ilivyotakiwa kufanyika, lakini je kuendelea kukaa na kulaumu kumesaidia kuondoa matatizo?Wahenga walisema “kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji” ndio maana siku zote tumekuwa tukilaumu na kulalamika lakini mambo yapo vile vile.Kuna mambo mawili makubwa yapaswa tujifunze ili tuwe na Uwezo wa kubadilisha hali isiyohitajika na kuitengeneza hali inayohitajika,1.Moja ya sifa kubwa ya mtu anaeyaona na kugundua matatizo anatakiwa awe na uwezo wa kujua suluhisho la matatizo hayo hivyo tuondokane na tabia ya kulaumu na kulalamika na tutengeneze kitu kinachoitwa KUKOSOA KUNAKOJENGA ( CONSTRUCTIVE CRITICISM) Kuna mtu mmoja aliwahi kusema “DON’T END UP BY SAYING THIS SHOULD NOT BE DONE GO FURTHER BY SAYING WHAT SHOULD BE DONE INSTEAD” akimaanisha usiishie kusema jambo hili halikutakiwa kufanyika nenda mbele zaidi na kusema jambo lililotakiwa kufanyika kama mbadala wake. Badala ya kuyalalamikia makosa yanayofanywa tunatakiwa tuyakosoe kwa kushauri nini kifanyike ili mambo yaende sawa.2.Tambua wewe ndiye mabadiliko yenyewe yanayosubiliwa, Dr Myles Munroe aliwahi kusema “YOU CAN’T CHANGE SOMETHING WHICH YOU NEVER ENGAGE IN” akimaanisha hauwezi kubadilisha kitu ambacho wewe mwenyewe haujaingia ndani yake. Hivyo basi wewe ambaye unaona wengine wanafanya tofauti unatakiwa utafute na kuingia katika sehemu hiyo na kutenda kwa usahihi ili uwaonyeshe wengine jinsi inavyotakiwa kufanyika ili wajifunze kutoka kwako na wafanye sawasawa na itakiwavyo kufanyika. Rais wa Marekani mheshimiwa Barrack Hussein Obama aliwahi kusema ” MABADILIKO HAYAWEZI KUJA IWAPO TUTASUBIRI MTU MWINGINE AU TUTASUBIRI WAKATI MWINGINE, SISI NI WATU TULIOSUBILIWA SISI NDIO MABADILIKO YANAYOTAFUTWA”.Jifunze kuwa sababisho la mabadiliko, hakikisha wengine wanabadilika kwa sababu yako.Tambua, Si rahisi kubadilisha na wengi hupinga mabadikiko, anza na Mungu, tembea naye katika njia zako, maliza Naye, BILA MUNGU HAUWEZI KUFANYA CHOCHOTE.

Dr.Japhet Simon Inspirational Speaker|Author|Business Consultant|Entrepreneur|Blogger Facebook:Japhet K.Simon Instagram;japhetsimon_

SIFA 10 AMBAZO KILA MJASIRIAMALI ANATAKIWA KUWA NAZO.

Kwa hakika ujasiriamali ni chaguo muhimu sana kwenye karne hii ya sasa ili kujipatia kipato. Hivi leo kuna wajasiriamali wengi waliofanikiwa na wengine hawajafanikiwa. Kwa hakika wajasiriamali waliofanikiwa wanafahamu na wanaziishi sifa za wajasiriamali bora. Ni wazi kuwa huwezi kuwa mjasiriamali bora wakati una sifa za mwajiriwa. Ili kuwa mjasiriamali ni lazima kuzifahamu na kuziishiContinue reading “SIFA 10 AMBAZO KILA MJASIRIAMALI ANATAKIWA KUWA NAZO.”

CHUPA SIO SULUHISHO!

Rafiki yangu mpendwa,Maisha huwa hayaendi vile tunavyotaka sisi mara zote.Huwa yana vikwazo na changamoto mbalimbali. Unaweza kuweka mipango yako vizuri, unaweza kuchukua kila hatua unayopaswa kuchukua, lakini matokeo unayokuja kupata ni tofauti kabisa na ulivyotegemea kupata. Hivyo ndivyo maisha yalivyo, hivyo ndivyo asili inavyofanya mambo yake na wewe siyo mtu wa kwanza mambo ya ainaContinue reading “CHUPA SIO SULUHISHO!”

VITU VYA KUFANYA UNAPOANZISHA BIASHARA YAKO. Malengo ni lazima yaende sambamba na mipango ili kuweza kutimiza ndoto zako kibiashara, hata hivyo huenda ukawa haujanielewa, ipo hivi, mipango ni mtiriko wa namna ya kuyafikia malengo. Pia malengo ni lazima yaanze katika ngazi ya chini kabisa, hapa nikiwa na maana ni lazima uanze na malengo madogo madogoContinue reading

HISTORIA YA OPRAH WINFREY

HISTORIA YA OPRAH WINFREY Oprah ni mwanamke wa kimarekani mwenye asili ya kiafrika yaani ni mmarekani mweusi. Huyu mwanamama bilionea aliyezaliwa Januari 29, 1954 huko, Kosiosko, Mississippi na kupewa jinala Orpah ambalo limo kwenye, Biblia katika Kitabu cha Ruth.Jina la Orpah liliandikwa kimakosa katika cheti cha kuzaliwa na kusomeka Oprah ambalo limeendelea kutumika hivyo mpakaContinue reading “HISTORIA YA OPRAH WINFREY”

NUKUU ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU.

WACHA NIKUFUMBUE MACHO KIDOGO! Hivi unajua ni kwanini watu husema chakula cha kuchanganya/kutengeneza mwenyewe kina magonjwa mengi??.  👉Sababu ni moja tu..mfugaji anakua hajafanya maandalizi mapema kukabili upungufu wa chakula hali inayo pelekea kununua malighafi ghafla bila kuchunguza ubora kwa msukumo wa kuku kukosa chakula  CHAKUFANYA ILI CHAKULA CHA KUTENGENEZA KISIKUSUMBUE  đź‘ŹUnatakiwa kuandaa malighafi zako zaContinue reading “NUKUU ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU.”

FURSA KWA VIJANA WA KITANZANIA.

Wasalaam,kwa heshima nawasalimu! Nimewaandalia makala hii inayozungumuzia fursa mbalimbali zinazomjenga kijana aweze kujitambua,kujipambanua kuongeza upeo na maarifa ambayo ni chachu ya yeye kufikia malengo yake.Naamni vijana wengi tupo katika safari ya kujijenga na kujinoa basi bila shaka safari hiyo itakuwa ni yenye manufaa kwako kwa maana ya kukufanya uithamni na utambue umuhimu wa kila hatuaContinue reading “FURSA KWA VIJANA WA KITANZANIA.”

Loading…

Something went wrong. Please refresh the page and/or try again.


Follow My Blog

Get new content delivered directly to your inbox.

Create your website with WordPress.com
Get started
%d bloggers like this: